} });
 

 

Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema wapo kwenye hatua za mwisho za kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja, kitakachosaidia Wakulima kuwasilisha changamoto zinazowakabili.

 

Amefafanua, Mkulima ataweza kupiga simu bure atakapopata pembejeo feki, tatizo la viatilifu au Ugonjwa katika Wilaya yake ili aweze kuhudumiwa kwa wakati.

 

Pia, amewataka Wakulima kuhakikisha wanapata Risiti ya EFD wanaponunua Pembejeo ili Serikali iweze kuchukua hatua dhidi ya Mhusika tatizo litakapojitokeza.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top