} });
 

 

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tayari wameshapendekeza jina la mrithi wa majukumu ya Marehemu Maalim Seif kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi.

Amesema, “Maalim alikuwa ni kiongozi aliyeijua kuna siku Mwenyezi Mungu atamchukua kwa sababu sisi sote lazima turejee kwake kwa hiyo aliacha maelekezo ya nini kitokee iwapo atatangulia mbele ya Haki”.


Ameeleza kuwa, wanaamini aliyependekezwa ataweza kusimamia maridhiano na Haki za Wazanzibari, na sasa umebaki wajibu wa Rais wa Zanzibar wa kuyatekeleza hayo.

 

Nafasi ya Makamau wa Rais wa kwanza wa Zanzibar  ipo wazi kuafuatia kifo cha Maalim Sief Sharif Hamad.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top