} });
 

 

Baada ya mfululizo wa matokeo mabovu Club ya Yanga SC imeamua kumfuta kazi Kocha wake Mkuu raia wa Burundi Cedric Kaze pamoja na benchi zima la ufundi.

Wengine waliofutwa kazi ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfan, Kocha wa Makipa Vladimir Niyonkuru, Kocha wa viungo Edem Mortoisi pamoja na afisa usalama wa timu Mussa Mahundi.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top