} });
 

 

WIKI iliyopita kuliibuka tetesi kuwa Klabu ya  Yanga itaachana na kocha wake raia wa Burundi, Cedric Kaze endapo timu hiyo itashindwa kuendelea kufanya vizuri, tofauti na matarajio ya klabu hiyo

 

Mashabiki na wanachama wa Yanga walionekana kutoridhishwa na kiwango cha Timu yao hata inaposhinda, ikiwemo mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Kengold Fc.

  

Presha ilizidi kuwa mbaya zaidi Kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Coastal Union na rasmi jana Machi 7, 2021, Yanga ikaamua kuachana na kocha wake huyo na kuvunja benchi zima la Ufundi baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania dakika za lala salama. 

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @officialcedrickaze, Aliandika;

“Wananchii it was a pleasure to work with you during these 5 months…

The Patience is a virtue.

18 league Games:

10 wins

7 draws

1 Loss

4 Games for Mapinduzi Cup:

Winner of Mapinduzi Cup…

I leave Young Africans in 1st place and that’s my pride…

Wishing you all the Best…

This is just a Goodbye…

 

Wananchii nimefurahi katika iyi myezi mitano tumetumika pamoya, tumepata furaha na tukapata wakati mugumu alakini njo gisi Biko kwenye football…

Subira iko ngumu kwa watu wengi…

Naenda kifuwa mbele ju naamini kama kwa muda nimekaa na team tumewapatiya furaha na tukabapatiya kikombe cha kwanza katika miaka 3…”

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top