} });
 


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza mkutano wa Bajeti kuanzia leo Jumanne, Machi 30 hadi Juni 30 ambapo limeazimia kutambua na kuenzi maisha ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top