} });
 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataapishwa rasmi leo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 4 Asubuhi – Ikulu jijini Dar es Salaam
Hii ni baada ya Rais John Pombe Magufuli kufariki dunia juzi Machi 17, 2021.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top