} });
 

 

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesitisha safari yake ya kihistoria kwenda Falme za Kiarabu (UAE) baada ya kutokea mzozo na Serikali ya Jordan.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya kiongozi huyo imeabainisha kuwa Jordan imezuia anga lake kutumika hivyo Netanyahu alishindwa kufanya safari yake UAE .

Hiyo ingekuwa ziara ya kwanza ya Nentanyahu tangu uhusiano wa kidiplomasia uanzishwe baina ya nchi hizo mbili mwezi Agosti mwaka jana.

MAOMBI KUPITIA MAJINA YA MUNGU NA UKUU WAKE by MTU WA MUNGU JOVIN MWEMEZI

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top