} });
 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefariki dunia leo (jana) Machi 17, 2021, majira ya saa 12:00 Jioni. Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ametangaza kupitia Televisheni ya Taifa TBC.

Aidha Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan amesema nchi itakuwa katika maambolezo kwa muda wa siku 14.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top