} });
 


Joan Laporta (58) amechaguliwa kuwa Rais mpya wa FC Barcelona kwa asilimia 54 ya kura zote zilizopigwa.

Laporta aliyewahi kuwa Rais wa FC Barcelona kwa miaka 7 (2003-2010) na kumuibua Lionel Messi, huku akimuamini Pep Guardiola, anarejea tena Nou Camp akiwa aliahidi kuwa akishinda Urais atahakikisha Messi haondoki Barcelona.

Joan Laporta anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Josep Maria Bartomeu aliyejiuzulu nafasi hiyo October 2020, Laporta katika utawala wake wa mwanzo aliwasajili Ronaldinho na Samuel Eto’o usajili ambao ulizaa matunda na kushinda Ligi ya Mabingwa mara 2, LaLiga mara 4 na Copa der Rey.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top