} });
 


Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania tena Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.

Akizungumza katika mkutano wa kisiasa wa muungano wa kihadhina CPAC uliofanyika mjini Orlando katika jimbo la Florida, mwanachama huyo wa Republican amesema huenda akajitosa katika kinya'nganyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu ujao.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top