} });
 


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea kufanya uchunguzi wa tukio la vifo vya watu watatu wa familia moja ambalo limetokea Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera.

Kamanda wa Polisi Mkoani humo Revocatus Malimi ameeleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa imani za kidini.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top