} });
 

 

Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, leo Jumatano Machi 31, 2021 ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla ya kuapishwa kwake imefanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Dkt. Mpango ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma. Dkt. Mpango alipitishwa na Bunge kwa 100% baada ya jina lake kupendekezwa na Rais.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top