} });
 

 

Hiki ni kisa cha Mama Elizabeth mkazi  Wilayani Nyang’wale ambae anaeleza jinsi ambavyo fisi walifika nyumbani kwake na kumbeba Mtoto wake mmoja ambae walikuwa wamezaliwa mapacha hali ambayo imesababisha Serikali Wilayani humo kuchukua hatua za kuwawinda fisi hao na kuwaua baada ya kusababisha vifo vya watu watano.

Nae Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Willison Shimo amewataka wananchi ndani ya Wilaya hiyo kutoa ushirikiano wakati fisi hao wakiwindwa.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top