
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Faustine Ndugulile ameiithibitishia AyoTV kwamba bei za vifurushi zitashuka kuanzia mwezi ujao (April 2 2021) mara baada ya kanuni mpya kuanza kufanya kazi.
“Bei elekezi ya vifurushi vya Internet itakuwa Tsh. 2-9 kwa megabaiti(MB) kwahiyo bei za vifurushi na mitandao zitashuka, Kampuni za simu zitatakiwa kubadilisha bei za vifurushi kila baada ya miezi mitatu na sio kupandisha kiholela” Ndugulile
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment