} });
 

 

Msanii Maua Sama athibitisha kuachana na mpenzi wake Aliyekuwa akisemekana ni Mzungu ambapo amaedai Sababu ni Umbali na huko alipo mchumba wake kuna lockdown iliyopelekea wakaambiana ukweli kuwa uhusiano uishe na kwa sasa ni marafiki tu.

Maua amefunguka hayo wakati aliposaini dili la Ubalozi wa moja ya Club yenye eneo la michezo na kupumzikia,Ubalozi ambao atakuwa nao kwa Muda mrefu.

Katika hatua nyingine Maua amesema hapendezwi na watu wanavyomshindanisha na msanii mwenzake Nandy, hii ikiwa ni baada ya kuachia wimbo wake wa Chuchumaa akidaiwa kutaka kushindana na Nandy aliyetoa wimbo wa ‘leo leo’

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top