} });
 


MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akimshukuru kwa kuidhinisha Fedha za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo.

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ziara ya siku mbili ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa inayotara kufanyika Machi 14 na 15 mwaka huu na akathibitisha kuwa afya ya Rais iko imara.

MAOMBI KUPITIA MAJINA YA MUNGU NA UKUU WAKE by MTU WA MUNGU JOVIN MWEMEZI

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top