
Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Machame Investment lililokuwa likitoka jijini Dodoma kwenda Moshi kupata ajali kwenye Kijiji cha Kiongozi Wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishina Msaidizi Wwandamizi Paul Kasabago amesema ajali hiyo imetokea leo Jumanne Machi 30 kwenye Kijiji cha Kiongozi.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment