} });
 

 

Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko amefariki dunia leo akiwa katika Freiburg nchini Ujerumani ambako alikuwa akipatiwa matibabu kutokana na ugonjwa wa kansa.

Rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara amesema wataanza kuomboleza kuanzia leo hii.Kifo chake kinajiri baada ya siku mbili zilizopita kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 56.

“Taifa linaomboleza kifo chake.” alisema Alassane Ouattara kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top