MAKOCHA WA MATAIFA MANNE WAMPITISHA YACOUBA
L ICHA ya kuwa na mwendo wa kobe kwenye kucheka na nyavu, mshambuliaji namba moja wa Yanga, Yacouba Songne mwenye mabao sita na pasi n...
MAYWEATHER KUZIPIGA NA LOGAN PAUL
Mwanamasumbwi machachari raia wa Marekani, Floyd Mayweather a.k.a ‘Money’ amethibitisha rasmi pambano lake dhidi ya Logan Paul litapigwa sik...
MAFUNZO YA TBS KWA WADAU WA MCHELE YAMFURAHISHA DC NKUMBA
Mkuu wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita Mhe. Said Nkumba akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wasindikaji, wajasiriamali na wadau wa mche...
WEZI WAIBA KENGELE YA KANISA YENYE KILO 500
Watu wasiojulikana wameripotiwa kuiba kengele ya kanisa la Virgin Mary Orthodox lililoko eneo la Limuru kaunti ya Kiambu nchini Kenya amba...
WASHTAKIWA 243 WALIPA FIDIA YA SH. BIL. 35
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kiasi cha Shilingi bilioni 35.07 kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbal...
PSG KUPAPATUANA NA MANCHESTER CITY LEO
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea tena leo ambapo matajiri Manchester City wanatarajiwa kuvaana na PSG. Huu ni mchezo wa k...
SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA VITAMIN C KUTIBU COVID-19
WIZARA ya afya nchini Uganda imesitisha matumizi ya vitamin C katika kutibu virusi vya Covid-19 kutokana na matumizi mabaya ya wagonjwa. ...
NAIBU WAZIRI GEKUL ATOA MAAGIZO BAKITA
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa kuongeza kasi ya kuratibu mp...
MFAHAMU MARTHA KOOME JAJI MKUU MPYA WA KENYA
Jopo la Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) imempitisha Jaji Martha Koome kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya na kuweka historia ya aina yake kwa Keny...
WACHOMA MISHKAKI YA MBWA WANASWA MSAMVU
Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani. Ni mny...
VIDEO: JAMAA AKUBALI KUMUOA ALIYEKUWA KAHABA NA KUZAA WATOTO 10 WA BABA TOFAUTI
Jaribu kuweka taswira ya picha ya siku ya harusi yako kila kitu kimeandaliwa lakini una wasiwasi kwa sababu haujawahi kukutana na mwanaume...
RAIS ASITISHA MPANGO WAKE KUONGEZA MUDA MADARAKANI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amepiga marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki a...
RAIS ASITISHA MPANGO WAKE KUONGEZA MUDA MADARAKANI
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo, ameachana na mpango wake wa kuongeza muda wa kukaa madarakani kwa miaka miwili zaidi hatua amb...
KIRUSI KIPYA CHA COVID 19 NI HATARI ZAIDI
SHIRIKA la Afya duniania WHO limesema aina ya virusi vya corona ambavyo vinahofiwa kuchangia wimbi la visa vya maambukizi nchini India vime...
ATUPWA JELA KWA KUWAPIGA PICHA POLISI WAKIKATA ROHO
Mwanaume mmoja nchini Australia amehukumiwa kifungo cha miezi 10 gerezani kwa kosa la kuwadhihaki na kuwapiga picha maafisa wa polisi waka...
VIDEO: POLISI MBEYA WATAJA CHANZO VIFO VYA WATU WAWILI RUAHA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema uchunguzi wa kidaktari wa miili ya watu wawili pamoja na kichwa cha binadamu vilivyo...
VIDEO: PROFESA ASIMULIA ALIVYOCHUKULIWA MILLIONI 100 NA ASKARI AKIDAIWA KUWA NA PEMBE ZA NDOVU
Profesa Justin Maeda ambaye amefanya kazi sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa msaidizi wa hayati mwalimu Julius Nyerere amesimulia tuk...
NANI KUKALIA KITI CHA KATIBU MKUU CCM?
CCM baada ya kupita kwenye milima na mabonde ya uongozi wa makatibu wakuu kadhaa, sasa kinahitaji kupata katibu mkuu atakayekifanya kijite...
TBS YAWAFUNDA WAZALISHAJI WA MCHELE KAHAMA
Mkuu wa wilaya ya kahama mkoani Shinyanga, Mh. Anamringi Macha amewataka wafanyabishara wa Kahama kuzalisha mchele uliofuata matakwa ya Vi...
WAZIRI JAFO SERIKALI KUDHIBITI WA ATHARI ZA ZEBAKI KWA AFYA YA BINADAMU
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amesema Serikali kwa kushirikiana na mamlaka husika itaandaa ...