} });
 

 

Mtayarishaji wa Mkongwe wa Muziki Bongo, P Funk Majani amefunguka baada ya kulizwa kupitia kipindi cha XXL ya Clouds FM kuhusiana na ishu ya mtoto wake Paula pamoja na Kajala kutokana na yale yanayoendelea mtandaoni.

P Funk amesema “Nilishawaambia tangu mwaka jana kwamba Mimi nilishajitoa, nilishanyoosha mikono kwa Mtoto (Paula), Mtoto anatafuta laana alishaniambia wewe sio Baba yangu, Kajala sio Familia yangu nilifanya uamuzi mbaya kuzaa na Mtu ambaye sio sahihi kuwa Mama,

“Yanayoendelea kwa sasa hayanihusu, Mtu ameshakuambia wewe sio Baba yangu utafanya nini utamlazimisha?” 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top