} });
 


NI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu ambapo jana alilihutubia Bunge na Taifa kutokea Makao Makuu Dodoma, Bofya playa hapa chini kushuhudia alichokizungumza kama haukubahatika kumsikiliza.

‘Mwaka jana Taifa letu lilifanikiwa kuingia Uchumi wa Kati ambapo Pato la Wastani wa kila Mtanzania limeongezeka hadi kufikia Dola 1080 zaidi ya kigezo cha Dola 1036, bila shaka ni mafanikio makubwa, jitihada zaidi zinahitajika ili kuongeza kasi ya ukuaji wa Uchumi”-Rais  Samia

“Takwimu zinaonesha Uchumi wa Nchi nyingi Duniani umeathiriwa na Corona, Tanzania nayo imeathirika kwa kushuka kwa Uchumi kutoka wastani wa 6.9% hadi 4.7%, Wataalamu wa Uchumi wanatuambia Uchumi unatakiwa kukua angalau kwa wastani wa 8% kwa mwaka”—Rais Samia

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top