
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amesaini Sheria inayomruhusu kugombea kwa mihula mingine miwili baada ya muhula wake unaomalizika mwaka 2024.
Sheria hiyo ambayo inamuwezesha Putin kusalia Madarakani hadi mwaka 2036 ikiwa ataamua kugombea na kushinda Uchaguzi ni matokeo ya mabadiliko ya Katiba ambayo yalifanywa mwaka jana.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment