KATIKA kuadhimisha miaka 57 ya Muungano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakikabiliwa na vifungo mbalimbali.
Aidha Rais amewataka wafungwa wote waliachiwa huru kutumia vyema mafunzo waliyoyapata gerezani na waungane na wananchi wenzao katika ujenzi wa taifa huku wakiheshimu na kuzingatia sheria.

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment