REAKING: RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA BOSI WA TPDC, AMRUDISHA MATARAGIO (VIDEO) A+ A- Print Email Rais ametengua uteuzi wa Thobias Mwesiga Richard kuwa Mkurugenzi mpya wa Shirika la Maendeleo ya Petroli, Dkt. James Mataragio aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo ataendelea na majukumu yake. soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment