} });
 

 

‘Tutarudisha imani ya Wawekezaji na kutoa vivutio kwa Wawekezaji, tunalalamikiwa sana, kumekuwa na mchakato mrefu Watu wanapotaka kuwekeza Tanzania, Serikali ya Awamu ya Sita tunakwenda kukomesha hili na Uwekezaji utakwenda kwa haraka”-Rais Samia

Tutaweka mifumo rafiki ulipaji kodi , ningependa kuona Watanyabiashara wanalipa kodi bila matumizi ya nguvu wakitambua kwamba kodi ni maendeleo yao, kumekuwa na matumizi ya nguvu wakati wa ukusanyaji kodi hili tutalikomesha”——-Rais Samia

Mashirika mengi ya Umma yanaendeshwa kwa kusuasua, ikifika wakati wa kutoa gawio Serikalini Viongozi wa Mashirika hayo wanahangaika kutafuta gawio wakihofia nafasi zao, tutaboresha Mashirika ya Umma ili yawe na tija na kuzalisha faida”-Rais Samia

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top