} });
 

 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linandelea kumsaka mtu mmoja aitwaye Mushobozi Mpabanza kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mdogo wa miaka mitano kisha kutoroka,inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo ni baba mdogo wa mama mzazi wa mtoto aliyebakwa.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera Maketi Msangi ameeleza kwa kina tukio lilivyokuwa.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top