} });
 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amewaita wawekezaji wote nchini Aprili 17, kwa ya kuwaisililiza wamekwama wapi lengo likiwa kuboresha utendaji kazi.

Waziri Jafo ameyasema hayo leo katika ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam ambapo pia amepiga marufuku matumizi ya mifuko ya Plastiki katika maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top