} });
 

 

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaonya baadhi ya wabunge kutumia usafiri wa bodaboda kwenda katika vikao vya Bunge mjini Dodoma kwamba kitendo hicho ni hatari kutokana na usafiri huo kutokuwa salama sana.

“Ninazo taarifa baadhi ya wabunge wanakuja bungeni kwa usafiri wa wananchi wa bodaboda (kutoka majumbani mwao kwenda bungeni) na kurudi kwa usafiri wa bodaboda.” Ndugai 

“Ni usafiri mzuri sina shida nao ila nawaomba kuwa makini, kuwa na uhakika na dereva wa bodaboda maana kupatikana kwenu ni kwa gharama kubwa nadhani mmenisoma,” Ndugai 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top