} });
 

Mkazi wa kijiji cha Guta Wilaya ya Bunda mkoani Mara Grace Chacha (67) amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga na mwanaye wa kambo aitwaye Matiku Chacha akidaiwa ni mchawi.

Mtoto wa marehemu Joseph Chacha amesema tukio hilo lilitokea Aprili 22, 2021 saa 4 asubuhi katika kijiji cha Guta.

Ameelez kuw mama huyo anadaiwa kuuawa na kijana huyo aliyekuwa akiishi jirani na Grace na kwamba kabla ya tukio hilo mtuhumiwa huyo anadaiwa kutamka maneno ya vitisho kwa marehemu akimtuhumu kuwa chanzo cha yeye kuwa na maisha magumu.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top