} });
 

 

Siku chache baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuufungia wimbo wa ‘Mama’ wa msanii Emmanuel Elibariki maarufu Ney wa Mitego, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) limelaani kitendo hicho kwa madai kuwa ni kuvunja Katiba kwa kuingilia uhuru wa msanii huyo katika kutoa maoni yake.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top