} });
 

 

NI Mnamo 10/5/2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi alikutana na uongozi wa BASATA katika kujadiliana namna bora ya utekelezaji wa majukumu ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) likiwemo jukumu la msingi la kufufua na kukuza Sanaa nchini, kuandaa matamasha mbalimbali kwa Wasanii, Uboreshwaji wa kanuni za Baraza pamoja na utoaji wa Tuzo kwa Wasanii.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top