} });
 

 

Eneo la Shibuya Mjini Tokyo, Japani ndilo linaelezwa kuwa busy zaidi kwa watu kuvuka barabara duniani.

Kila siku maelfu ya watembea kwa miguu hugombea kupita kwenye eneo hilo na ndiyo sababu linafahamika kama njia kuu ya watembea kwa miguu duniani.

Eneo hilo linajumhisha barabara 10 huku kukiwa na sehemu 5 za vivuko vya waenda kwa miguu.

Kwa sasa linaelezwa kuwa kivutio kikubwa kwa watalii duniani kutokana na kuzungukwa na majengo mazuri.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top