} });
 


Shirikisho la soka Afrika Kusini (SAFA) limemtangaza Kocha Hugo Henri Broos (69) raia wa Ubelgiji kuwa Kocha wao mpya.

Hugo amesaini mkataba wa miaka mitano wa kuifundisha Afrika Kusini na anatajwa kuwa atakuwa akilipwa mshahara wa USD 50,000 (Tsh milioni 115.9) kwa mwezi.

Kocha Hugo aliwahi kuwa Kocha wa vilabu kadhaa Ulaya kama Club Brugge, KRC Genk na timu ya Taifa ya Cameroon, mara ya mwisho 2019 alikuwa Kocha wa muda wa KV Oostende

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top