} });
 


Aliyekuwa mwanasheria wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege ameondoa rasmi maombi ya kufanya majadiliano ya kuimaliza kesi hiyo baada ya siku 45 zilizotolewa na mahakama kuisha bila yeye kujadiliana na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania( DPP).

 

Makandege kupitia wakili wale, Alex Balomi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi Mei 6, 2021 wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili yeye na wenzake Harbinder Seth na James Rugemalira kutajwa.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top