} });
 

 

Mtu mmoja ambaye amebainika kuwa ni mganga wa jadi, Robert Masumbuko, amefariki dunia mkoani Tabora wakati akijaribu kuwaaminisha wateja wake kwamba ana uwezo wa kuwapatia kinga dhidi ya sumu yoyote ambayo mtu anaweza kuinywa pasipo kudhurika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akiwaonya wananchi kuepukana na dhana potofu ambazo zinaendelea kumshamiri kwa baadhi ya wananchi. Mtu huyo mkazi wa Kigoma lakini amefariki akiwa Kaliua mkoani Tabora.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top