} });
 


Baada ya kuelewana wasitishe vita ili kupisha sikukuu ya Eid ambayo imefanyika leo, waislam wa Palestina wameswali swala ya Eid katika viwanja vya msikiti wa Al-Aqsa ambao ulitumika kama kituo cha vita kati ya Wapalestina na Israel wakiendelea kuugombania Mji wa Jerusalem.

Katika msikiti huo wa Al-Aqsa Wanajeshi wa Israel wanaelezwa kuwa walivamia waumini ambao walikuwa wanaswali kufuatia mfungo wa Ramadhani na kuwaua zaidi ya Waislam 35 huku wengine wakijeruhiwa, hivyo Wapalestina wakaona wautumie uwanja huo kuswali Swala ya Eid.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top