} });
 

 

Baba akilia kwa uchungu huku akiwa amebeba mwili wa mwanae aliyeuawa katika shambulio la angani la Israel ambalo liliharibu sakafu za juu za jengo la kibiashara katika Jiji la Gaza Jana.

Shambulio hilo pia lilisababisha uharibifu jirani na Wizara ya Afya iliyokaribu na Kliniki ya huduma ya Afya.

Zaidi ya watu 200 wamepoteza maisha kutokana na ghasia hizo zinazoendelea Mjini Gaza huku raia kadhaa wa Israel na Palestina wakiyakimbia makazi yao.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top