} });
 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Richard Joseph Masika kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) kuanzia March 29, 2021.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top