} });
 

 

“Faini sawa lakini zaidi elimu, muanzishe mfumo wa kieletroniki ambao utasomeka nchi nzima ili dereva akifanya kosa moja lisomeke nchi nzima yakifika matatu aidha atozwe kodi au afutiwe leseni” Rais Samia

“Wanaopata ajali wanaumia kwa viwango tofautitofauti lakini sheria yetu ni kwamba mpaka apate PF3 hivyo niombe kwamba mtu anapofika hospitali apate kwanza huduma kisha mambo mengine yaendelee, tunapoteza watu wengi kwa sababu ya PF3,” Rais Samia Suluhu wakati wa kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi. 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top