} });
 

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA) hakuhalalishi Mtu kuwa Raia wa Tanzania.

 

Akiwa Bungeni, Simbachawene ameeleza Uraia wa Tanzania una #Sheria ya Uraia na una mchakato wake hivyo kitambulisho cha NIDA ni kwa ajili ya kuwatambua tu Wananchi na hutolewa hata kwa Wakimbizi na Wahamiaji wakazi.


Ameongeza “Ukipata kitambulisho hiki sio mwarobaini kwamba wewe umeshamaliza sasa hutaulizwa hapana, utaulizwa na utanyang’anywa hicho kitambulisho kama tukigundua wewe sio Raia wa Tanzania”.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top