} });
 


Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu kwa kutumia vidole, vitendo vya utapeli na wizi mitandaoni bado vimeendelea kushamiri

“Najiuliza ule usajili ulikuwa kiini macho au ni nini? Kwasababu kama tumesajili vile kila namba inajulikana, na kama kuna zisizojulikana zinatolewa na Shirika gani la simu?” Rais Samia

Amelitaka Jeshi la Polisi kusimamia suala hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtandao wa Serikali, TCRA na Taasisi nyingine za fedha za Umma na Binafsi zikiwemo Benki na Kampuni za Simu

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top