} });
 

 

“Maneno mengine ni ya kutengeneza, nimeongea na Mkurugenzi wa ATCL route ya Geita bado ipo, uwanja ni wa Mkoa, kupanga ndege kwenda mahali tunaangali wingi wa abairia, uwanja unatumika ila kuna maboresho yanaendelea, hayo maneno kusema Wananchi waombe waanike mazao ni kitu ambacho hakikubaliki, ule uwanja ni wa Serikali unafanyiwa kazi kadri wateja watakavyoongezeka ndivyo route zitaongezeka” Naibu Waziri Uchukuzi Mwita Waitara akijibu

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top