} });
 

 

Kutoka Wilaya ya Magu Mwanza, mtoto Daud Mussa miaka 3, ameuawa kwa kuliwa na fisi wakati akicheza nje kidogo ya nyumbani kwao na muda huo Mama yake alikuwa ndani akipika, Kamanda wa Polisi Mwanza Jumanne Muliro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top