} });
 


"Kufuatia kero iliyojitokeza siku ya tarehe 8 mwezi huu iliyowakera wanamichezo hasa mpira wa miguu nchini baada ya kuahirishwa kwa mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga uliotakiwa kuchezwa siku hiyo na kusababisha manung'uniko, mjadala kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kutojua hatima ya waliolipa viingilio kwenye mchezo ule, jambo hili limevuta hisia za Watanzania hata pia nje ya nchi, kufuatia kero hii tayari tumeagiza wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo kuhakikisha kuwa wanatoa taarifa mchezo ule utachezwa lini? lakini pia vile viingilio hatima yake ni nini?-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top