} });
 


Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ametaka kuundwa kwa Bodi ya Korosho ambayo haijakuwepo kwa miaka mitatu akihoji, nini lengo la Serikali na zao hilo?.

Akiwa Bungeni amesema, “Zao ambalo linaongoza kuingiza Fedha nyingi za kigeni Nchi hii mwaka wa tatu hakuna Bodi. Mkurugenzi yupo anakaimu, na bahati mbaya ninadhani amepewa kazi kubwa kuliko uwezo wake”.

Ameongeza kuwa, Kiongozi huyo ameshindwa kazi na kutaka aletwe mwingine akieleza, “Huyu Mkurugenzi anafika mahali akibanwa na wakulima anaanza kujibu majibu ya kiburi”.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top