} });
 

 

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe feki,Kamanda wa polisi mkoani Arusha Justine Masejo anaeleza jinsi walivyomkamata mtuhumiwa huyo.

“Tulifanya oparesheni maalumu nakumkamkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 31 akiwa ana simamia kiwanda feki,nitoe onyo kali zoezi hili ni endelevu”-RPC Masejo

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top