} });
 

 

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta ametoa wiki mbili kwa ajili ya kushughulikiwa tatizo la mrundikano wa mahindi  katika eneo la mpakani ili biashara ziendelee kama awali.

“Mimi nitaje mambo mawili nayotaka yatendeke na hii ninataka yafanyike wiki hii na wiki ijayo, kwanza ni mawaziri ambao wanahusika muende mtatue msongamano ambao upo Taveta , Holili,  na pale Namanga magari yaweze kutembea, kama ni certificate za covid- 19 mawaziri wa afya wajue namna ya kufanya certificate ikitolewa Tanzania iwe sawa na aingie Kenya na vinginevyo”  Rais Kenyatta

“Pili ni mahindi ambayo yamelala mpakani, waziri mimi nakupatia wiki mbili mahindi yote yawe yamefunguliwa na maneno yaishe kwasababu hatutaki kuumiza watu wetu,”  Rais Kenyatta

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top