} });
 

 

“Jeshi la Polisi linafanya kazi nzuri sana na siku mbili tatu hizi nimesikia kazi nzuri waliofanya Dar es salaam na watanzania wote wamesikia kazi nzuri ya kudhibiti hawa majambazi nataka nikuhakikishie kwamba Serikali inaendelea na kazi hiyo ya kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaendelea”Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Swali la Mbunge wa Makete, Festo Sanga katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma, Mbunge Festo Sanga alitaka kujua kauli ya Serikali kuhusu vitendo viovu vya ujambazi vinavyoendelea.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top