} });
 


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kwa mujibu wa Sheria kila mtu anatakiwa kuweka nywila “Password” katika simu na vitu vingine vinavyohusisha mfumo huo.

Hayo yamebainishwa na Dr.Philip Filikunjombe ambaye ni Msimamizi wa Kitengo cha Usimamiaji na Utekelezaji cha (TCRA) ambapo pia amewataka wananchi wakiwemo Waandishi wa Habari za Kimitandao ya Kijamii kuzingatia Misingi ya Sheria.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top