} });
 

 

Baada ya taarifa kuwa kuna wizi wa vifaa kwenye ujenzi wa mradi wa Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi, Kamanda wa Polisi Mwanza Jumanne Muliro amefika ofisi ya Mkandarasi akiwa na kikosi kazi maalumu na kumuuliza maswali ya papo kwa papo na tayari wanawashikilia watu nane wa kuhujumu miundombinu ya mradi wa ujenzi wa Daraja.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top